timu ya taifa ya bara kilimanjaro staaz leo imeyaaga rasmi mashindano ya chalenji baada ya kukubali kichapo cha bao 2-1 dhidi ya sudan katika uwanja wetu wa neshno.picha na michuzi blog
No comments:
Post a Comment