msanii maarufu wa muziki wa kizazi kipya anayekwenda kwa jina la banana ally zorro,jana usiku alikuwa ni mgeni mualikwa katika send of ya mke wake mtarajiwa anaye fahamika kwa jina la suzy walele katika ukumbi wa sabasaba barabara ya kilwa rodi.picha kwa hisani ya michuzi blog
No comments:
Post a Comment