HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, December 13, 2007

Ajali Mbaya

basi la upendo linalofanya safari zake kati ya njombe mkoani iringa na dar es salaam limepata ajali mbaya baada ya kuliingia lori lililokuwa limepaki pembezoni mwa barabara hiyo maeneo ya mafinga.hakuna aliyepoteza maisha katika ajili bali wapo waliopata majera madogomadogo.picha kwa hisani ya issamichuzi.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad