kuna msela wangu fulani kaniletea picha za haya matunda,anasema haya matunda ni mazuri sana ila nilisahau kumuuliza kuwa yanapatika na wapi,nikionana nae nitamuuliza ili nasi tuyatafute tujue uzuri wake
No comments:
Post a Comment