HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, November 3, 2007

Uegeshaji Magari

hii nimeifuma leo leo mtaa wa india street,pale jamaa alipo paki ndinga yake na aliporudi akakuta ishapigwa pin na site,alichokifanya ni kuingia ndani ya mchuma wake na kulipiga stata kisha kutia gia kulilazimisha kuondoka mpaka ile cheni ikakatika na kuondoka zake.imetuli hiyoooo

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad