chombo kikiwa tayari kwa safari yake ya kwanza ya kigoma na mwanza,baada ya mashefa wapya kununua shilika hilo la trc kipindi hichondugu,jamaa na marafiki wakiwaaga wenzao waliokuwa wanasafiri kuelekea mwanza na kigoma kwa treni inayopita reli ya kati katika safari yake ya kwanzabai bai msalimieni sana maneno pale mwisho wa reli kigoma.picha zote hapa
No comments:
Post a Comment