nimepumzika kwenye mkoko wa msela wangu ambao niliutumia kwa safari ya kwenda kutalii katika mbuga ya wanyama ya mikumi,baada ya kuzunguka kutwa nzima kumsaka zee la nyika na kutoka kapa bila kumtia machoni
No comments:
Post a Comment