baada ya mishemishe kuenda ndivyo sivyo na jua kupiga kupita kiasi ilibidi msela huyu kupiga kambi katika chimbo hili kwa mapumziko ya muda ili kupunguza makali ya jua la mchana huo
No comments:
Post a Comment