huyu msela alitaka kumpa makonde jamaa mwenye mzani mara baada ya kugundua mzani wake ni kimeo,maana alipima karibu mara tatu na kukuta eti ana kilo 45,hivi mwili huu ni wa uzito huo kweliiii?
No comments:
Post a Comment