karibu chember zote za maji machafu za hapa mjini zimejaa,kiasi kwamba inafikia wakati maji haya machafu yanatapakaa barabarani.swali ni kwamba hali hii tutakuwa nayo mpaka lini?
No comments:
Post a Comment