hapo awali nishawahi kusikia kuwa eti ukipendelea sana kunywa maji ya madafu eti unapata busha,hili swala ni la kweli ndugu zangu?maana sie wa bara hatuyafahamu haya matunda.
sidhani kama hilo swala ni la kweli maana ndio nasikia kutoka kwako
ReplyDelete