bongo yetu inazidi kutanuka siku hadi siku,miaka sita iliyopita kulikuwa hakukai mtu huku lilikuwa ni pori tupu lakini leo hii kiwanja huku ni mpaka milion sita,saba hadi nane.ni tabata kinyerezi hapa
No comments:
Post a Comment