
siku hizi bongo hakitupwi kitu,huyu msela nimeongea nae na akanieleza jinsi wanavyobadirisha hizi tube light na kuzifanya antena na akasema hizi zinakamata kuliko zile orijino,je mnao zitumia nikweli kuwa antena hizi zinakamata kuliko orijino?bei yake ni 2,000 tu kwa moja.
No comments:
Post a Comment