

wachezaji wa timu ya yanga ambao ni shadrack nsajigwa pamoja na ivo mapunda wamefungiwa kwa muda wa miezi sita kwa kosa la kutoripoti kambini tangu walipocheza na watani wao wa jadi simba sc.kutokana na maelezo ya katibu mkuu wa yanga bw.lucas kisasa ni kwamba wachezaji wengine watatu waliofungiwa kwa miezi mitatu ni amir maftah,ben mwalala na edwin mukenya kwa kosa la utoro kambini.picha kutoka zote kutoka issamichuzi.blogspot.com
No comments:
Post a Comment