HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, October 18, 2007

Mr Cooper Ndani ya Bongo

msanii maarufu wa vichekesho kutoka marekani Mark Curry anayefahamika kwa jina la Mr Cooper amewasili nchini jana kwa ajili ya onesho atakalolifanya kesho ndani ya ukumbi wa diamond jubilee v.i.p hall.shime masela tujitahidi kufika hapo bila kukosa ili kujua amekuja na kipi kipya.picha kwa hisani ya mkuu michuzijr.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad