HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, October 25, 2007

Mh.Salome Mbatia Hatunaye Tena

hii ilikuwa siku rais jk.alipofanya mabadiriko katika baraza lake la mawaziri.hapo mh.mbatia ni huyo mwenye njano nyuma ya dr.shein
waziri wa maendeleo ya jamii,jinsia na watoto mh.salome mbatia. amefariki jana jioni kwa ajari ya gari eneo la kibena mkoani iringa, baada ya gari alilokuwa akisafiria kugongana uso kwa uso na lori aina ya fuso akiwa katika ziara ya kikazi mkoani humo. hapo alikuwa akibadilishana mawazo na dr. asha migiro akiwa waziri wa mambo ya nchi za nje.pia madereva wa gari hizo wamekufa papo hapo.picha zote kwa hisani ya mkuu issamichuzi

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad