
kama ushawahi kukatiza kinondoni maeneo ya block 41 sidhani kama utakuwa mgeni wa jengo hili la jj blu,hapo mchana huwa hivi lakini ukifika kuanzia saa 2 tasilim ya usiku ndipo utakapojua kuwa hapo ndio jj blu kutokana na mambo mazuri utakayo yakuta hapo
No comments:
Post a Comment