
jeneza lililobeba mwili wa marehemu mama yetu na waziri wetu mpendwa mh. salome joseph mbatia,ulipowasiri kwenye uwanja wa ndege wa dar kutokea iringa alipofikwa na mauti siku ya j5 jioni.mungu aiweke roho ya marehemu mahala pema peponi amen

jeneza lililobeba mwili wa mh.mbatia likiingizwa kwenye ndege tayari kwa safari ya kuelekea dar
No comments:
Post a Comment