
spika wa bunge mstaafu mh.pm na spika wa sasa mh.ss wakitoka kutoa heshima zao za mwisho

rais mstaafu wa awamu ya pili mh. ahm na mkewe wakitoa heshima zao

mama maria nyerere nae alikuwepo kutoa heshima

rais mstaafu awamu ya tatu mh. bwm na mkewe wakitoa heshima zao mbele ya jeneza lililobeba mwili wa marehemu salome mbatia.mungu ailaze roho ya yake pema peponi.ameen
No comments:
Post a Comment