
NI siku nyingine tena ya kushuhudia miamba kibao ikishuka dimbani leo kwenye Ligi kuu ya EPL. Je ni Arsenal kujihakikishia nafasi ya kwanza kwenye msimamo au Brighton watawashika shati mabingwa hao? Jisajili na ubashiri hapa.
Klabu ya soka ya Brighton & Hove Albion leo Jumamosi itashuka dimbani na kuwa mwenyeji wa bingwa mtetezi wa taji la EPL Arsenal katika mchezo wa Ligi Kuu England utakaopigwa katika Uwanja wa American Express, kuanzia saa 17:00 jioni. Mchezo huo unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kutokana na nafasi za timu hizo msimu huu.
Arsenal wanaingia kwenye mchezo huo wakiwa na mwanzo mzuri wa msimu, huku wakiwa wamekusanya pointi 12 katika michezo yao minne ya kwanza. Brighton kwa upande wao wana pointi saba baada ya kushinda michezo miwili, sare moja na kupoteza mchezo mmoja.
Brighton pia wanaingia wakiwa na kumbukumbu nzuri ya ushindi mkubwa wa 5-0 dhidi ya Coventry City katika mchezo wao uliopita wa ligi. Hata hivyo, kikosi hicho kina changamoto ya majeruhi, huku wachezaji kadhaa wa safu ya ushambuliaji, akiwemo Kaoru Mitoma, Yankuba Minteh na Evan Ferguson, wakitajwa kuwa hawatakuwepo kwenye mchezo huu dhidi ya mabingwa hao kutoka jiji la London.
Meridianbet inasema kuna michezo kama Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli. Ingia katika kasino ya mtandaoni ya Meridianbet na ujiokotee mkwanja mapema. Jiunge sasa au Tembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Arsenal, chini ya Mikel Arteta, watajaribu kuendeleza mwanzo wao mzuri wa ligi baada ya kushinda michezo yhao minne mfululizo ukiwemo ule wa kwanza dhidi ya Conventry City 3-0, pia alipata ushindi mwembamba wa 1-0 dhidi ya Aston villa akaja akashinda 2-1 kwenye London dabi dhidi ya Chelsea na mchezo wa mwisho alishinda 2-0 mbele ya Sunderland.
Kikosi hicho pia kina changamoto kadhaa za majeruhi, ikiwemo William Saliba, huku hali ya Ben White na Cristhian Mosquera ikihitaji ufuatiliaji kabla ya mchezo. Lakini kwa nyota kama Bukayo Saka anaendelea kuwa miongoni mwa wachezaji muhimu katika safu ya ushambuliaji ya Arsenal akiwa tayari ameweza kupachika mabao 3 akifuatiwa na Martin Odegaard na Kai Harvtez wenye mabao 2.
No comments:
Post a Comment