KUELEKEA kuanza kwa ligi mwezi huu, bado timu kutoka ligi mbalimbali zinaendelea kujifua ili kujiweka sawa kabla ya msimu kuanza. Odds kubwa za mechi hizi zipo kwaajili yako. Ingia na ubashiri sasa.
AC Milan vs Inter Milan hii ni moja ya mechi kali za kirafiki ambayo itapigwa na yenye ushindani mkubwa kutokana na historia ndefu ya timu hizi mbili. Mchezo huu utakuwa fursa kwa makocha kupima mifumo yao, kuwapa nafasi wachezaji wapya na kutathmini utayari wa vikosi kabla ya msimu mpya kuanza.
Inter Milan wakiwa kama mabingwa watetezi wanahitaji kupima kikosi chao kuanzia msimu huu jinsi ambavyo kitaenda kupambania taji lao kwani chini ya Chivu imekuwa timu ya kutishia.
AC Milan wao hawakuwa na msimu mzuri lakini linapokuja suala la Derby kila timu huja kivingine hivyo ambaye atakuwa amejipanga vyema anaweza akaondoka na ushindi mnono kabisa, lakini ikumbukwe kuwa wana ujio wa kocha mpya ambaye ni Amorim.
Hii inaweza ikawa ni mechi ya kushambuliana zaidi kwani kila timu inagitaj kuonesha ubabe mbele ya mwenzake. Odds kubwa zipo kwenye mechi hii hivyo ingia na uberti hapa.
Lakini pia huenda makocha wakafanya mabadiliko mengi kipindi cha pili, jambo litakalofanya ushindani ubaki wazi hadi dakika za mwisho. Hata hivyo, kutokana na ubora wa vikosi vyote viwili, mchezo unatarajiwa kuwa wa kuvutia na wenye mabao. Jisajili hapa.
Meridianbet inakwambia tengeneza mkwanja kupitia michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Nao vijana wa Xabi Alonso, Chelsea watapepetana vikali dhidi ya Juventus kutoka kule Italia moja ya mchezo mzuri wa kutazama kwani The Blues wamefanya usajili mzuri wa wachezaji wenye uwezo hivyo kocha anataka kujua wapi nafaa wapi.
The Blues anao wamekuwa na msimu mbaya uliopita baada ya kumaliza nafasi ya 8 msimu uliopita hivyo hawashiriki mashindano ya Ulaya, lengo kuu ni kujikita kwenye mashindano ya ndani zaidi. Juventus wao walimaliza nafasi ya 6 hivyo watashiriki michuano ya Ulaya.
Hii ni nafasi ya wao kuonesha ubora wao kwenye mechi hii ya kirafiki mbele ya timu kutoka Uingereza, Lakini pia ni nafasi ya wachezaji kuonesha kuwa wanahitaji namba kwani ushindani ni mkubwa sana mpaka sasa. Machaguo zaidi ya 1000 yapo kwenye mechi hii. Suka jamvi hapa.
Bingwa mtetezi wa ligi kuu ya Uingereza, Arsenal naye siku ya leo atakuwa akijima nguvu dhidi ya Real Betis kutoka kule Hispania ambayo ni timu ya daraja la kati. The Gunners chini ya Arteta walikuwa na simu mzuri kabisa hivyo maandalizi haya ni muhimu kwaajili ya kuendelea kutetea taji lao.
Kwa upande wa Betis wao wanahitaji kujaribu wachezaji wapya na kujiweka imara tayari kwaajili ya msimu mpya huku nafasi ya kuondoka na ushindi pale Meridianbet wakiwapewa Arsenal kutokana na ubora wa wachezaji ambao wanao.
Arteta baada ya kuchukua ubingwa wake akiwa na Arsenal msimu uliopita, sasa anataka kuendeleza ubabe wake hivyo kujipima na timu kutoka ligi tofauti ni jambo vyema huku wakiwa ndio wanatazamiwa kufungua pazia la ligi kuu dhidi ya Conventry ambao wamepanda daraja msimu huu.
Je ni The Gunners au Betis kuondoka na ushindi mnono siku ya leo?. Bashiri na uondoke na mkwanja kwenye mtanange huu wa leo.


No comments:
Post a Comment