Tuesday, August 19, 2025

Meridianbet Yakuletea Expanse Tournament, Promosheni Mpya ya Kasino

 



EXPANSE Tournament kasino moja ya promosheni ya Meridianbet inayoendelea kufanya vizuri mjini, inatoa zawadi kibao kama bonasi za kasino, mizunguko ya bure, huku milioni moja taslimu ikiwa inashindaniwa kwa kucheza michezo ya kasino iliyotengenezwa na Expanse ambayo ipo ndani ya Meridianbet kasino ya mtandaoni. Jisajili hapa kuingia kwenye kinyang’anyiro cha ushindi.

Promosheni hii ilianza 16.08. 2025 na itaendelea hadi 31.08.2025 ambapo, bonasi za kasino zitagawiwa kwa washindi. Katika promosheni hii unapokuwa unacheza mchezo wako pendwa wowote ule uliotengenezwa na Expanse, dau la chini kwa kila mchezo ni Tsh 1,000/= mfano Sloti ya PIA Premium, unaicheza huku unapata bonasi za kasino kibao.

Promosheni inaendeshwa kwa kutumia mfumo wa mashindano kwa wachezaji kwenye sloti zinazotolewa na Expanse Studio. Michezo ya kasino ya mtandaoni itakayotumika wakati wa promosheni ni Pia Premium, 100 Super Icy, Gates of Olympia, God of Coins, Leprechaun Wish, Pinata Loca, Wild Icy Fruits, Wild White Whale, na Zombie Apocalypse.

NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Na kutokana na msimamo wa mwisho, wachezaji 40 watazawadiwa pesa taslimu na mizunguko ya bure kucheza kwenye kasino ya mtandaoni kama ifuatavyo;

• Nafasi ya Kwanza: 1,000,000 TZS Taslimu

• Nafasi ya Pili: 500,000 TZS Taslimu

• Nafasi ya Tatu: 250,000 TZS Taslimu

• Nafasi ya Nne: 250,000 TZS Taslimu

• Nafasi ya Tano: 100,000 TZS Taslimu

Na kwa nafasi zilizobaki yaani kuanzia nafasi ya 6 hadi yule wa mwisho ambaye ni 40 watajishindia mizunguko ya bure mpaka 100 kwenye mchezo pendwa wa PIA. Na kwa ushindi utakaotokana na Mizunguko hiyo ya bure utahitaji kuzungushwa mara 60x ili kuhamisha ushindi wako kwenye akaunti ya pesa halisi.

Fursa ndo hii kwa wewe mpenzi wa michezo ya kasino mtandaoni, sasa unacheza ukitafuta ushindi huku ukiwa na matumaini makubwa pia mwisho wa mwezi unaweza kupokea fungu lako la zawadi ya ushindi kutokana na uthubutu pamoja na uchezaji wako.

Muda wa kufanya maamuzi sahihi ndo huu sasa. Fungua akaunti yako ya Meridianbet, weka dau lako na uanze kushiriki michezo hii pendwa huku ukitengeneza nafasi ya ushindi.

No comments:

Post a Comment