HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, July 24, 2024

TPA yatekeleza maagizo ya Bodi ya TASAC Bandari ya Nyamisati

 
Mwenyekiti wa Bodi ya TASAC Nahodha Mussa Mandia akizungumza na Waandishi wa Habari wakati Bodi hiyo ilipofanya ziara katika Bandari ya Nyamisati wilayani Kibiti Mkoani Pwani kuangalia uendelezaji wa Bandari hiyo.
Mkurugenzi Mkuu wa TASAC Mohamed Salum alieleza kuhusiana na mipango ya mkakati katika Bandari ya Nyamisati katika kutoa huduma za Usafiri kwa Vyombo Vidogo vya Majini.
Meneja wa Bandari ya Nyamisati Issa Unemba akizungumza  na Waandishi wa Habari kuhusiana na utendaji wa Bandari hiyo pamoja na maboresho yaliyofanyika wakati Bodi ya TASAC ilipotembelea Bandari ya Nyamisati wilayani Kibiti mkoani Pwani.
Mkurugenzi Mkuu wa TASAC Mohamed Salum akiangalia chombo kidogo chenye vifaa vya uokozi (hakipo pichan)  katika Bandari ya Nyamisati.
Mwenyekiti wa Bodi ya TASAC Nahodha Mussa Mandia akizungumza katika Bandari ya Nyamisati wakati  Bodi hiyo ilipofanya ziara Bandari hapo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad