HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, May 18, 2024

MERIDIANBET NA KMC WATOA MSAADA WA VYAKULA CHAMAZI

 


LEO hii siku ya Jumamosi Kampuni kubwa ya ubashiri Tanzania Meridianbet kwa kushirikiana na KMC wamefika Chamazi kwaajili ya kutoa msaada wa vyakula kwa familia ambazo hazijiwezi.

Kama ilivyo ada Meridianbet hurejesha kile kidogo kwa jamii yake ambapo safari hii kwa kumtumia mchezaji wa KMC ambaye alikuwa ni mchezaji bora wa mwezi wa 4 aliamua kutoa msaada kwa familia zisizojiweza

Lanso ni mchezaji ambaye amesajiliwa msimu huu kwenye dirisha dogo na mabye amekuwa na kiwango kizuri sana ambapo Meridianbet hutoa zawadi kwa mchezaji wa KMC ambaye amefanya vizuri na yeye akaona arejeshe kwa jamii.

Vyakula ambavyo zimetolewa ni kama vile mchele, unga wa ngano, mafuta ya kupikia, sabuni na sukari ambavyo hivi vitawasaidia kwa namna moja au nyingine. Vyakula hivyo vimetolewa Chamazi maeneo ya Magengeni ambayo ni makazi ya Lanso kwa muda kwani yeye ni mkazi wa Zanzibar.

Ndugu mteja kumbuka na wewe unaweza kupiga mkwanja kwa kucheza michezo ya kasino ya matandaoni kama vile, Aviator, Poker, Roulette, Rocketman, Michezo ya Sloti na mingine kibao. Ingia Meridianbet na ucheze sasa.

Kutokana na yeye kuwa mgeni wa maeneo hayo Lanso aliona si vibaya kuamabatana na mchezaji mwezake ambaye ni mwenyeji Tepsie Evans pamoja na wakali wa ODDS KUBWA Tanzania Meridianbet pamoja na michezo ya kasino ya mtandaoni.

Baada ya kuulizwa kipi kilimsukuma Lanso kurejesha kwenye jamii alisema kuwa, “"Nimetoka kwenye mazingira magumu nyumbani Zanzibar baada ya kufika Dar kwa mara ya kwanza nilipokewa vizuri na nilijihisi nina deni kubwa la kulipa, niwashukuru Meridianbet kwa kuniwezesha kukamilisha hitaji langu la moyoni la kusaidia jamii, napenda kutoa misaada na leo nimefika hapa Chamazi kukabidhi hiki kidogo, nilichojaliwa" Abdalla Lanso

Meridianbet wamesema kuwa wamezungukwa na jamii ambayo ina mahitaji mengi sana, na mpaka sasa wamegusa watu wengi sana wenye mahitaji, na hili ni zoezi endelevu kwao kugusu wenye mahitaji.

Lakini pia wamesema kuwa hawataishia hapa siku nyingine itakuwa ni zamu ya watu wa eneo lingine, huku ukijua kuwa ligi zinaendea mwishoni ambapo leo kuna mechi kibao kubwa na zenye machaguo zaidi ya 1000 kupigwa. Bashiri sasa.

Vilevile kwa wale wenye kubeti bila bando na wanaotumia kitochi ni rahisi sana piga *149*10#. Meridianbet ushindi ni wako sasa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad