HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, September 2, 2023

UJUMBE MAALUM WA RAIS, KUTOKA KOREA KUSINI

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na ujumbe kutoka Korea Kusini uliyoambatana na Makampuni makubwa ya madini, kwenye Ukumbi wa BOT jijijini Dar es salaam, Septemba 2, 2023.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mjumbe Maalum wa Rais wa Korea Kusini, Bwana Yoon Sang Jick, wakati alipokutana na ujumbe kutoka Korea Kusini uliyoambatana na Makampuni makubwa ya madini, kwenye Ukumbi wa BOT jijijini Dar es salaam, Septemba 2, 2023.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mjumbe Maalum wa Rais wa Korea Kusini, Bwana Yoon Sang Jick, wakati alipokutana na ujumbe kutoka Korea Kusini uliyoambatana na Makampuni makubwa ya madini, kwenye Ukumbi wa BOT jijijini Dar es salaam, Septemba 2, 2023.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe kutoka Korea Kusini uliyoambatana na Makampuni makubwa ya madini, nje ya Ukumbi wa BOT jijijini Dar es salaam, Septemba 2, 2023.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad