Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu akizungumza na maofisa kutoka Puma Energy ambao ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Puma Energy kutoka kulia Ofisa Mtendaji Mkuu wa Puma Energy ( Global)Hadi Hallouche, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Puma Afrika, Fadi Mitri na Mkuu wa Puma Energy Afrika Constantin De Bartha





No comments:
Post a Comment