Mkuu wa Wilaya ya Uyui, Mh. Zakaria Mwansasu (kushoto) akisalimiana na mwakilishi wa JTI Leaf Services, Oscar Lwoga wakati kampuni hiyo ikikabidhi madawati Kwa shule za Uyui Kwa lengo la kuboresha hali ya elimu huku wageni wengine wakishuhudia.Hafla hiyo ilifanyika katika eneo la Ndono, Uyui hivi karibuni
No comments:
Post a Comment