HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, June 1, 2023

JUNI MOSI HAINA KUPOTEZA MUDA MKALI WA UDA WOTE!!

 IKIWA leo ni Juni mosi!! Haina kupoteza muda mkali wa muda wote ambaye pia ni mwandishi wa ngoma, mtayarishai na muimbaji kutoka Ngeria, @pheelz ameachia kazi mpya iitwayo YOLO inayopatikana DC Talents.


Na kama ujuavyo muziki wa Afrobeat ulivyo na nguvu na ushawishi duniani, basi endeela kusikiliza EP ya Pheelz Good,kutoka kwa mkali huyo ambayo I nafanya vizuri na imetoka mapema mwaka huu.

Mpaka sasa EP hiyo ya ngoma zipatazo nane na imeshafikisha wasikilizaji Zaidi ya Milioni 100. Pheelz Good ina kolabo na watu kama Davido kupitia ngoma ta ‘Electricity’, na ‘Finesse’ inamtu kama, BNXN hii yote ni katika kuchanganya radha ya muziki wa Afrobeat unaojumuisha pia midundo ya R&B.

Pheelz anaingia kwenye rekodi bora na nzuri Zaidi kutoka Pandora na Amazon music, baada ya kumtaja kama msanii wa kutazamwa Zaidi kwa mwaka huu wa 2023, Utakumbuka hayo yote yalitokea baada ya kuachia Finesse mwaka 2022 na nyota ikawana na kupelekea kupata nafasi kadhaa ikiwemo kutoa burudani kwenye kipindi cha TV kiitwacho Late Show with Seth Meyers, kinachoruka NBC, mbali na hivyo pia Pheelz amekuwa msanii wa kwanza wa Afrobeat kutumbuiza kwenye BET pre Show na alitajwa kweye tuzo za BET 2022 kama Best New International Act.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad