HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, May 8, 2023

AWESU AREJESHA KWA JAMII ILIYOMKUZA

 


MCHEZAJI wa klabu ya KMC FC Awesu Awesu amefanya tukio kubwa na la kuigwa na wengine baada ya kutoa msaada wa vyakula kwenye mtaa aliozaliwa. Akishirikiana na Meridianbet mabingwa wa odds kubwa na kasino ya mtandaoni ambao walianzisha Challenge ya kupiga penati ambapo bahati iliangukia kwa Awesu na kuweza kufunga zote na kujizolewa pesa alizoamua kuzitoa kama msaada kwa jamii.

Awesu aliambatana na Meridianbet wanaokupa odds kubwa na kasino ya mtandaoni walifika mtaani kwa mchezaji huyo Magomeni ambapo ni sehemu alipokulia na kukuzwa waliweza kutoa msaada wa vifaa mbalimbali kwa watu wasiojiweza kama Mafuta ya kupikia, Sukari, Mchele, Sabuni, pamoja na vifaa vya kufanyia usafi.

Msaada huo ulitokana na pesa zilizotolewa na Meridianbet kwenda kwa mchezaji husika baada ya kushinda Challenge ya kupiga penati tano, ambapo kila penati ilinunuliwa kwa Tsh 1,000,000/=

Akiongea na wanahabari Awesu Awesu alisema “Kwanza ninamshukuru Mungu kwa kuniwezesha kufika hapa leo, Lakini kubwa zaidi nawashukuru wadhamini wa timu ninayoitumiikia kwani imekua faraja kuifikia siku hii na kuweza kutoa msaada kwa jamii yangu iliyonikuza na kunilea nawashukuru sana Meridianbet kwa namna wanavyohakikisha wanarudisha kwa jamii hata kile kidogo wanachopata”

Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Mkuu wa kitengo cha mawasiliano na masoko kutoka Meridianbet Matina Nkurlu pia alipata nafasi ya kuzungumza “Hiki kilichofanywa na Awesu ni uungwana kwa maana ya tafsiri ya Uungwana ni pamoja na kujali njia ulizopita na kuzipa faraja.

Jisajili Meridianbet upate mizunguko 50 ya bure kucheza kasino ya mtandaoni, jisajili leo ushinde mtonyo mrefu, twende kazi.

“Leo Meridianbet tukishirikiana na Awesu Awesu kuzipa faraja familia na wakazi wa Magomeni alipoishi Awesu hadi kufikia ndoto zake, Na kesho huenda akawa mtu mwingine mkubwa akafikia jamii yake kupitia sisi, Hivo basi tunaahidi huu utakua mwendelezo kutoka Meridianbet kwa kshirikiana na klabu ya KMC FC kurudisha kwenye jamii” Alisema Matina Nkurlu

Lakini pia waliopokea msaada hawakua nyuma katika kushukuru kile kilichofanywa na Awesu Awesu kwa kushirikiana na Meridianbet na kusema wamefurahishwa sana na kilichofanywa na kijana wao kuweza kuwakumbuka na kuwapa msaada, Vilevile wakitoa shukrani kwa Meridianbet na kusema wao ni mfano wa kuigwa kwani wamekua wakirudisha kwenye jamii kila inapowezekana.

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad