RAIS .DK.HUSSEIN MWINYI ASHIRIKI UCHAGUZI WA CCM WA VIONGOZI WA NGAZI YA WILAYA YA AMANI - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, October 3, 2022

RAIS .DK.HUSSEIN MWINYI ASHIRIKI UCHAGUZI WA CCM WA VIONGOZI WA NGAZI YA WILAYA YA AMANI

 


MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Husseinn Ali Mwinyi akipiga kura kumchagua Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Amani na Viongozi wa ngazi ya Wilaya wa CCM, uliofanyika katika ukumbi wa Afisi CCM Amani Mkoa wa Mjini Kichama.(Picha Ikulu)
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutowa nasaha zake kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa CCM Ngazi ya Wilaya ya Amani Kichama, uliofanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM Amani Mkoa leo 2-10-2022.(Picha na Ikulu)


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad