Rais Samia Suluhu Hassan afungua Barabara ya Chunya-Makongorosi, Chunya Mkoani Mbeya - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, August 6, 2022

Rais Samia Suluhu Hassan afungua Barabara ya Chunya-Makongorosi, Chunya Mkoani Mbeya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Wilaya ya Chunya katika Mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja Matundasi Wilayani humo Mkoani Mbeya tarehe 06 Agosti, 2022. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria ufunguzi Barabara ya Chunya-Makongorosi km (39) iliyojengwa kwa kiwango cha Lami katika sherehe zilizofanyika Matundasi Chunya Mkoani Mbeya tarehe 06 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisogeza kitambaa kuashiria ufunguziBarabara ya Chunya-Makongorosi km (39) iliyojengwa kwa kiwango cha Lami katika sherehe zilizofanyika Matundasi Chunya Mkoani Mbeya tarehe 06 Agosti, 2022.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad