Sunday, July 31, 2022

MAKAMU WA RAIS AKISHIRIKI MISA MKOANI MBEYA

 


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa. Dkt. Philip Mpango akishiriki Ibada ya Misa Takatifu ya Jumapili katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Antoni wa Padua Jimbo Kuu la Mbeya leo tarehe 31 Julai 2022.

No comments:

Post a Comment