HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, January 11, 2022

MAJALIWA AZUNGUMZA NA MAWAZIRI NA MAKATIBU WAKUU WA OFISI YA WAZIRI MKUU

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu baada ya kuzungumza nao, ofisini kwake , Mlimwa Jijini Dodoma, Januari 10, 2022. Kutoka kushoto, Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, Dkt. John Jingu, Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na uratibu, Ummy Nderiananga, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na uratibu, Dkt. Pindi Chana, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Viana na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako, Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Patrobasi Katambi na kulia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Profesa Jamal Katundu. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Makatibu Wakuu, Ofisi ya Waziri Mkuu baada ya kuzungumza na Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu, ofisini kwake , Mlimwa Jijini Dodoma, Januari 10, 2022. Kushoto Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, Dkt. John Jingu na kulia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Profesa Jamal Katundu. 
PMO 5885 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri baada ya kuzungumza nao pamoja na Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu baada ya kuzungumza nao, ofisini kwake , Mlimwa Jijini Dodoma, Januari 10, 2022. Kutoka kushoto, Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, Ummy Nderiananga, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Dkt. Pindi Chana, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako na kulia Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Patrobasi Katambi. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad