UEFA Nations League Inaendelea Wiki Hii! - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, October 10, 2020

UEFA Nations League Inaendelea Wiki Hii!

 *Ufaransa dhidi ya Ureno, hapatoshi!!!

Moja ya mtanange mkubwa kwenye UEFA Nations League wiki hii ni kati ya mabingwa wawili. Ufaransa ambaye ni bingwa kombe la dunia 2018, Ureno ambaye ni bingwa mtetezi wa UEFA Nations League. Patashika, nguo kuchanika!

Ni nani ataonesha ubingwa dhidi ya mwingine, ni Ufaransa au Ureno?

Kwa ujumla, katika michezo 25 waliyowahi kukutana - Mreno amefungwa mara 18, Mfaransa amepigwa mara 6 na wametoka sare mara 1. Katika michezo 10 ya mwisho kwa Ufaransa na Ureno kukutana, Mfaransa ameshinda mara 9 huku Mreno akishinda mara 1 pekee.

Timu zote mbili zinaundwa na vijana kwa kiasi kikubwa japo kuna wachezaji wengi wenye uzoevu kwenye vikosi vyao. Ukiwaangalia Ufaransa, Mbappe, Griezman na Camaviga ni kati ya vijana wanaofanya vizuri kwenye soka la Ulaya kwa sasa.

Upande wa pili, Ureno kuna wachezaji kama Jao Felix, Bruno Fernandez, Diogo Jota na wengine wengi ambao pia wamekuwa na kiwango thabiti katika vilabu wanavyovitumikia.

Huu ni mchezo ambao utawakutanisha wachezaji wenye majina makubwa kwenye ulimwengu wa soka. Cristiano Ronaldo, Nicolas Pepe, Oliver Giroud, Hugo Lloris, Paul Pogba na wengine kadha wa kadha watakuwa wakiumana ndani ya dimba moja.

 Kwa upande wa Odds za mechi hii ni za uhakika na zinavutia. Ushindi kwa Ufaransa unathaminiwa kwa odds ya 2.10, ushindi kwa Ureno unathamani ya odds ya 3.77 wakati matokeo ya sare yanathaminiwa kwa odds ya 3.14

Pia, Wataalamu wa Meridian wamekuwekea ofa ya machaguo zaidi ya 1,200 ambayo unaweza kuyaangalia hapa.

Kuwa sehemu ya mchezo huu na ubashiri vile unavyopenda! Kwa odds nzuri, ofa kabambe za michezo na mambo kemkem, Meridian inakufanya kuwa mshindi!

Jisajili na meridianbet hapa www.meridianbet.co.tz na furaha yako itaanzia hapo. Pakua App ya Meridianbet kwenye simu yako na uanze kubashiri kwa uhuru nyumbani kwako. 

Pia, unaweza kuweka pesa kwenye akaunti yako kupitia KwikPay, M-PESA au Airtel Money. Kumbuka, daima hauwezi kupoteza tiketi yako ya kwanza ukiwa na Meridianbet, Tuna Bonasi ya 100% inakusubiri.

Meridian - Nyumba yenye odds bora na bonasi kubwa!

11 comments:

Post Bottom Ad