
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea gawio la dola milioni 40,000, 106,91 la Kampuni ya Madini ya TWIGA toka kwa Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango wakishuhudiwa na wajumbe wa bodi hiyo wakati wa hafla ya kupokea gawio toka kwa kampuni ya Madini ya TWIGA na Shirika la Madini la Taifa STAMICO katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimatifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Jumanne Oktoba 13, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akipokea gawio la Tsh. Bilioni Moja na Milioni Mia Moja toka kwa
Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) Meja Jenerali
(Mstaafu) Michael Isamuhyo akishuhudiwa na Waziri wa Fedha na Mipango
Dkt. Philip Mpango, Msajili wa Hazina Bw. Athumani Mbuttuka na wajumbe
wa bodi hiyo wakati wa hafla ya kupokea gawio toka kwa kampuni ya Madini
ya TWIGA na Shirika la Madini la Taifa STAMICO katika Ukumbi wa
Mikutano wa Kimatifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Jumanne
Oktoba 13, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John PombeMagufuli akipokea tuzo maalumu toka kwa Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Madini Tanzania(Femata), John Bina, na makamu wake wakati wa hafla ya kupokea gawio toka kwa kampuni ya Madini ya TWIGA na Shirika la Madini la Taifa STAMICO katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimatifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Jumanne Oktoba 13,
2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. JohnPombe Magufuli akiongea na wageni waalikwa na wadau wa madini wakati wa hafla ya kupokea gawio toka kwa kampuni ya Madini ya TWIGA na Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimatifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Jumanne Oktoba 13, 2020
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment