Mkuu wa Idara ya Mawasiliano Serikalini Wizara ya Maliasili na Utalii, Bi. Dorina Makaya (wa pili kushoto) na Meneja Msaidizi Kanda ya Kati, Patricia Manonga ( wa tatu kulia), wakiwa na baadhi ya watumishi wa wizara hiyo, Taasisi na vyuo wakisherehekea ushindi walioupata baada ya kukabidhiwa cheti cha ushindi wa kwanza katika kundi la sekta ya uchumi na uzalishaji wakati wa kilele cha Maonesho ya Nane Nane Kanda ya Kati kwenye viwanja vya Nzuguni, jijini Dodoma.

Mkuu wa Idara ya Mawasiliano Serikalini Bi. Dorina Makaya (kulia) na Mratibu wa Maonesho ya Nane Nane (kushoto) wakiongoza wadau kuingia banda la wanyama kwenye Maonesho ya Nane Nane jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment