BASHUNGWA ATEMBELEA MAONESHO YA 44 YA SABASABA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, 3 July 2020

BASHUNGWA ATEMBELEA MAONESHO YA 44 YA SABASABA Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Innocent Bashungwa akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Shirika la PostaTanzania.
 Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Innocent Bashungwa, (wa pili kulia) akipata maelezo kutoka kwa Afisa wa Shirika la PostaTanzania  alipotembelea banda hilo katika Maonesho ya 44 ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama Sabasaba yanayofanyika katika uwanja vya Mwl. Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam ambapo tarehe 03 Julai Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe Kassim Majaliwa atayafungua rasmi.
 Afisa wa Shirika la PostaTanzania,Janeth Mzava  akitoa maelezo kwa mwananchi alietembea banda la shirika hilo katika Maonesho ya 44 ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama Sabasaba yanayofanyika leo katika uwanja vya Mwl. Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam.
Meneja wa Banda la Shirika la PostaTanzania,John Tinga (kushoto) akimhudumia mteja alietembea banda la shirika hilo kubadilisha Fedha katika Maonesho ya 44 ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama Sabasaba yanayofanyika leo katika uwanja vya Mwl. Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam.
(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad