HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, 1 October 2019

RAIS MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AMUAPISHA MKURUGENZI WA NEC PAMOJA NA MKUU WA ITIFAKI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Wilson Mahera Charles kuwa Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi (NEC), katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Kanali Wilbert Augustine Ibuge kuwa Balozi ambaye ameteuliwa leo kuwa Mkuu wa Itifaki Chief of Protocol wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Ikulu jijini Dar es Salaam. 
 Kanali Wilbert Augustine Ibuge akila Kiapo cha  kuwa Balozi Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Makamu wa Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan pamoja na Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi (NEC) Dkt. Wilson Mahera Charles wa kwanza kushoto na Mkuu wa Itifaki (Chief of Protocol wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Wilbert Augustine Ibuge. Wengine katika picha ni Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe, Katibu Mkuu Ikulu Dkt. Moses Kusiluka, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Angellah Kairuki pamoja na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC ) Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a comment

Post Bottom Ad