HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, 1 October 2019

MAJALIWA AZAWADIWA KITI CHA WAZEE KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAZEE DUNIANI - MJINI MTWARA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikabidhiwa zawadi ya kiti cha wazee na Mwenyekiti wa Mtandao wa Wazee Tanzania, Abdallah Majumba  (kushoto) baada ya kuhutubia katika Maadhiisho ya Siku ya Wazee Duniani yaliyofanyika kitaifa kwenye Uwanja wa Nangwada Sijaona mjini Mtwara, Oktoba 1, 2019. Katikati ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa amekalia kiti cha wazee alichozawadiwa na Mwenyekiti wa Mtandao wa Wazee Tanzania, Abdallah Majumba (kushoto) baada ya kuhutubia katika Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani yaliyofanyika kitaifa kwenye uwanja wa Nangwada Sijaona mjini Mtwara, Oktoba 1, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


No comments:

Post a comment

Post Bottom Ad