KATIBU MKUU DOTO JAMES ATEMBELEA BANDA LA PSPTB KWENYE MAONESHO YA SABASABA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, 8 July 2019

KATIBU MKUU DOTO JAMES ATEMBELEA BANDA LA PSPTB KWENYE MAONESHO YA SABASABA

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Doto James akisikiliza maeleza yaliyokuwa yanatolewa na Afisa mwandamiza Masoko na mahusiano kwa Umma wa Bodi ya wataalamu wa ununuzi na Ugavi (PSPTB), Shamim Mdee kuhusu kazi zinazofanywa na bodi hiyo kwenye Maonesho ya 43 ya Biashara Kimataifa yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Afisa mwandamiza Masoko na mahusiano kwa Umma wa PSPTB, Shamim  Mdee akimkabidhi zawadi Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Doto James alipotembelea banda la Bodi la PSPTB  kwenye Maonesho ya 43 ya Biashara Kimataifa yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Doto James akisaini kitabu cha wageni  cha PSPTB kwenye Maonesho ya 43 ya Biashara Kimataifa yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Doto James akimpongeza Afisa mwandamiza Masoko na mahusiano kwa Umma wa PSPTB, Shamim Mdee kwa niaba ya Bodi hiyo kwa kuwa washindi wa tatu kwenye kipengele kilichoshirikisha taasisi za serikali zinazojihusiha na wakala, wasimamizi na wadhibiti kwenye Maonesho ya 43 ya Biashara Kimataifa yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad