HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, May 20, 2019

WASHINDI WA MASHINDANYO YA KUHIFADHI QURAAN WAPEWA PESA ZAO NA AMANA BANK.

Mshindi wa kwanza wa mashindano ya kusoma na kuhifadhi Quraan Kijana Mohamed  Diallo kutoka nchini Senegal akipokea kitita cha shilingi milioni 20 kutoka katika benki ya Amana wadhamini wakuu wa mashindano hayo.
Mshindi wa pili wa mashindano ya kusoma na kuhifadhi Quraan Kijana Furuq Kabiru Yakubu kutoka nchini Nigeria akipokea kitita cha shilingi milioni 10 kutoka katika benki ya Amana wadhamini wakuu wa mashindano hayo.
Mshindi wa tatu wa mashindano ya kusoma na kuhifadhi Quraan Kijana Shamsuddin Hussein Ali kutoka Tanzania Zanzibar nae akipokea zawadi yake kutoka katika benki ya Amana wadhamini wakuu wa mashindano hayo.
Mkuu wa idara ya Masoko kutoka Amana Bank ndugu, Dasu Mussa akizungumza na baadhi ya vyombo vya habari katika tukio la kuwakabidhi washindi walio shinda mashindano ya kusoma na kuhifadhi Quraan kwa mwaka huu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad