HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, April 4, 2019

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA PILI LA KUMBUKUMBU YA HAYATI ABEID AMANI KARUME






 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa Ufunguzi wa  Kongamano la Pili la Maadhimisho ya kumbukumbu ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Kwanza wa Baraza la Mapinduzi Hayati Sheikh Abeid Amani Karume linalofanyika kwenye Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kampasi ya Zanzibar Bubu. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Mjane wa Marehemu Bibi Fatma Karume akizungumzia namna walivyohamasisha wanawake wapewe fursa ya kupiga kura kwenye harakati za kutafuta Uhuru wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Pili la Maadhimisho ya kumbukumbu ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Kwanza wa Baraza la Mapinduzi Hayati Sheikh Abeid Amani Karume linalofanyika kwenye Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kampasi ya Zanzibar Bubu. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad