HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, March 7, 2019

KAMPUNI YA HUDUMA ZA BIMA YA HOWDEN PURI YAZINDUA HUDUMA ZAKE TANZANIA

Mwanzilishi na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya huduma za Bima ya Howden (kulia) iliyopo chini ya Kampuni mama ya Hyperion Insurance Group , David Howden akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa kampuni ya Howden Puri Insurance Brokers nchini uliofanyika jijini Dar es Salaam jana,wengine pichani kutoka kulia ni Balozi wa Uingereza nchini, Sarah Cooke,Afisa Mtendaji Mkuu wa Howden Puri nchini, Umesh Puri na Mwenyekiti wa Howden Kanda ya Afrika, Pravceen Vashista.
Balozi wa Uingereza nchini Sarah Cooke akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari wakati wa uzinduzi huo wengine pichani ni Maofisa Waandamizi ya Howden Puri Balozi wa Uingereza nchini, Sarah Cooke akihutubia wageni waalikwa katika hafla hiyo. Mwanzilishi na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya huduma za Bima ya Howden, David Howden akihutubia wageni waalikwa. Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa TIRA , Adelaida Muganyizi (Kushoto) akisalimiana na Mtendaji Mkuu wa Howden, , David Howden wakati wa hafla hiyo Baadhi ya wageni waalikwa wakifuatilia matukio na kubadilishana mawazo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad