HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, 12 February 2019

Maafisa Manunuzi na Wakaguzi wa ndani kutoka halmashauri 118 wapigwa msasa

 Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro bwana Clifford Tandari akizungumza na washiriki wa mafunzo ya marekebisho ya sheria ya ununuzi wa umma na mfumo wa utoaji taarifa za manunuzi (PMIS) wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo mjini Morogoro.
 Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya marekebisho ya sheria ya ununuzi wa umma na mfumo wa utoaji taarifa za manunuzi (PMIS) wakimsikiliza Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro bwana Clifford Tandari wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo mjini Morogoro.
 Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya marekebisho ya sheria ya ununuzi wa umma na mfumo wa utoaji taarifa za manunuzi (PMIS) wakiwa kwenye picha ya pamoja na Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro bwana Clifford Tandari mara baada ya ufunguzi wa mafunzo hayo mjini Morogoro.
Afisa Ugavi wa Halmashauri  ya Wilaya ya Chunya Bi Salome Peter Lyimo akielezea matarajio yake kabla ya kupata mafunzo ya sheria za manunuzi na namna mfumo wa utoaji taarifa za manunuzi utakavyomsaidia katika utendaji wake wa kazi mara baada ya ufunguzi wa mafunzo hayo mjini Morogoro.

No comments:

Post a comment

Post Bottom Ad