Wafanyabiashara ndogondogo maarufu kama Machinga,akisafisha vikombo katika Barabara ya Morogoro Shekilango jijini Dar es Salaam.
Kijana akipima chupa za plastiki anazozikusanya mtaani na kuziuza jijini Dar es Salaamu,kilo moja huuza kati ya shilingi 300 hadi 400.
Wafanyabiashara ndogondogo maarufu kama Machinga, wakitembeza bidhaa zao wakati wakisaka wateja katika foleni ya magari, Barabara ya Morogoro,eneo la Ubungo jijini Dar es Salaam jana. Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya jamii.
No comments:
Post a Comment