Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna Makakala akizungumza
wakati wa kikao cha pamoja na watangulizi wake kilichofanyika jijini Dar es
salaam.
Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa kwanza wa kike wa Idara ya
Uhamiaji Bi. Judith Mtawali akimtia moyo na kumpongeza Kamishna Jenerali wa
Uhamiaji Dkt. Anna Makakala wakati wa kikao hicho.
Kamishna wa Uhamiaji Mstaafu Piniel Mgonja akichangia jambo
katika kikao cha pamoja baina ya Viongozi Waandamizi wastaafu wa Idara ya
Uhamiaji na Viongozi Waandamizi waliopo madarakani.
Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Uhamiaji Zanzibar Masauni Masauni akichangia hoja wakati wa kikao cha kubadilishana uzoefu wa kazi
Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Idara ya Uhamiaji Kinemo Kihomano
akiongea wakati wa kikao cha kubadilishana uzoefu wa kazi baina ya Viongozi
Waandamizi wastaafu wa Idara ya Uhamiaji na Viongozi Waandamizi wa Idara waliopo
madarakani.
Picha ya pamoja ya Viongozi waandamizi wa Idara ya Uhamiaji waliopo madarakani na
Viongozi Waandamizi wastaafu wa Idara hiyo, wakati waliposhiriki katika kikao
cha kubadilishana mawazo na uzoefu kilichoitishwa na Kamishna Jenerali wa
Uhamiaji Dkt. Anna Makakala.
No comments:
Post a Comment