Saturday, July 23, 2016

UKITAKA KUONA ADHA YA CHOMBO HIKI, KIWESE KIKATE AU UPATE PANCHA

Maana huwa hata hakikumbuki kuwa kimebeba nini wakati huo na kwa uzito gani, yaani lakini uipige kibega kama aonekanavyo mdau mpichani hapo, baada ya chombo kukata kiwese. 

No comments:

Post a Comment