
Bwana Harusi Ibra Poza akiwa na wapambe wake, Abui Seif (kushoto) na Amour Hassan, wakati wa Hafla ya Ndoa yake iliyofungwa usiku huu nyumbani kwa Bi Harusi, Saade, huko maeneo ya Fuoni mjini Zanzibar. Naye mpambe wa Bw. Harusi Amour Hassan (kulia) naye anatarajia kufunga ndoa kesho huko huko mjini Zanzibar na Sherehe ya Maharusi hao inatarajia kufanyika jijini Dar es Salaam, Julai 30 mwaka huu.


Ibra Poza akipozi na mkewe Saade

Picha za kumbukumbu na baadhi ya wanafamilia.


Picha ya kumbukumbu na baadhi ya wanafamilia.
No comments:
Post a Comment