HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, December 29, 2015

DILI LA MCHANGA LINAZIDI KUNONO MTAANI KWETU....

Kijana katika Taswira alinaswa na Kamera Yetu Ya Mtaa Kwa Mtaa akiwa bize Mzigoni kufanya shughuli ya kuzoa Mchanga katika Mfereji wa Maji uliopo Eneo la Ilolo Jijini Mbeya.
#Kamerayamtaakwamtaablog.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad