Huu ni uchambuzi wa Habari toka vituo mbalimbali vya Televisheni Mchana Huu October 19, 2015.
Mke wa raisi Mama Salma Kikwete amewaasa wanafunzi wa kike wanaotarajia kufanya mtihani kidato cha nne kuacha dhana potofu dhidi ya watoto wa kike. https://youtu.be/YGfUHS2Khwk
Wizara ya Afya imekabidhi nyumba 60 kwa halmashauri mkoani Lindi kuimarisha mazingira mazuri kwa waganga na wataalamu wa afya vijijini https://youtu.be/XG-2AtC44ew
Ukarabati wa hospitali ya rufaa Wilaya ya Tarime imesaidia kupunguza adha ya huduma za afya wilayani humo licha ya uwepo wa changamoto; https://youtu.be/KHBKil9joWk
Wadau 400 walioshiriki katika mdahalo wa amani Mkoani Njombe waazimia kutoa elimu ya ya kulinda amani katika uchaguzi mkuu https://youtu.be/hwwGMU6CtnQ
Wanawake wapewa wito kujijengea tabia ya kupima afya zao ili kuepuka ugonjwa wa saratani ya kizazi na shingo ya kizazi ili kunusuru afya zao; https://youtu.be/h0kyl2lKVb8
Raisi Jakaya Kikwete amesema kuwa miaka 10 ya uongozi inatosha kabisa kwa mkuu wa nchi kufanya utumishi wa kutumikia wananchi. https://youtu.be/oFqIUbbujGI
No comments:
Post a Comment